SIRI YA STRINGS NA PADS KATIKA MUZIKI
Je wajua namna yakuifanya nyimbo yako iwe na usikikaji mpana wenye wenye ujazo.....
STRING & PADS
Uvumbuzi wa siri hii ya peke ni kutumia ala tajwa hapo juu
HATUA 1
waweza kujagua upendavyo... Piga string 1 na uipan 75 kulia na string 2...... 75 kushoto kisha piga pad na uiache kati... Zingati sauti isiwe juu pad na string hua kuwa na sauti isiyo zidi -30 hadi -20
...
SIRI YA UFANYA NYIMBO ISIIKE VIZURI
Ifanye nyimbo yako isikike vizuri kwa kufanza panning ya ala na vocal ulizo nasa na kuziprogram.... Pan kick 0 point (centre) katika kila nyimbo unayo tengeneza, pan snare +6 , pan tom-toms +12 au -12, pan floor toms +12, hi-hits +9 na cymbal +12 clash -12,
kwa drum set ukipani sana usizidi +25 au -25, zaidi ya hapo uhalisia wa drum (stereo image) pan acoustic guiter -50 hadi -55 piano pan +45 rythim guiter +60 hadi +70, solo guiter -60 hadi -70, string 75 hadi 85 na pads pan -75 hadi -85

SIRI YA SNARE (KIMTEGO)
Snare ni ala ya muhimu sana katika muziki
waweza kuondoa frequency zote chini ya 100, 150 au 200hz ktengemeana na aina ya mziki unaopiga. Kata freguence zinazosababisha kelele kati ya 350 na 450 hz au 700 na 1khz . Kisha boost ili kuipa punch snare 2khz - 3.5 khz...
COMPRESION
SIRI YA KICK YENYE NGUVU
Kick punguza nguvu ya frequence zote chini ya 50Hz Boost kidogo at 100Hz kata frequence 400Hz kwa -6dB ukipenda waza kuondoa frequence zote za juu ya 8KHz
COMPRESION
unaweza ku compres kidogo ili kupata kick ngumu na yenye nguvu 2:1 ratio na -6 mpaka -12 threshold na kurekebisha attack na release.
Tuona wakati ujao tutajadili kuhusu snare EQ na compresion
No comments:
Post a Comment