NEW VISION

Maono mapya yanakuja pale unapokuwa na kristo ndani ya maisha yako maana yeye hukubadilisha na kukufanya kiumbe kipya, chenye mawazo mapya .

Friday, September 30, 2011

MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU

Umoja wa vijana wa shule na vyuo..umeandaa mkesha wa kusifu na kuabudu unaofanyika leo ijumaa 30/9/2011 katika ukumbi wa kanisa la kkkt ruanda block t mbeya. Wote mnakaribishwa.maombi kwa vijana yatafanyika pia.